MBUNGE AGNES MARWA : NI KWELI NILIRUDIA FORM 4 MARA NNE/WABUNGE WA UPINZANI WALINILIZA BUNGENI
Автор: Wasafi Media
Загружено: 2020-07-15
Просмотров: 13494
Aliyekua Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara kupitia Chama Cha Mapinduzi AGNES MARWA amesimulia jinsi alivyojikuta akitaka kulia Bungeni kutokana na ukosoaji wa Wabunge wa Vyama vya Upinzani kwa Serikali na chama tawala.
Pia amefafanua kuhusu kilichosababisha arudie elimu ya kidato cha nne zaidi ya mara nne kabla ya kufaulu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: