MZIZIMA DERBY | Mchambuzi wa soka Rashid Hamis afunguka mbinu za Ibenge
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-12-08
Просмотров: 283
MZIZIMA DERBY: Msikie mchambuzi wa soka @rashidy_hamis akifunguka kuhusu mbinu ambazo zimekuwa zikitumiwa na Kocha Florent Ibenge katika kufundisha mchezo wa mpira wa miguu.
Kocha huyo jana ameiongoza Azam FC katika mchezo wa #MzizimaDerby na kushinda kwa jumla ya magoli 2-0.
#Viwanjani
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: