Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

WALIOINGIA KWENYE 18 ZA WAZIRI AWESO WAKIPATA CHA MOTO “ASKARI KAMATA HUYU”

Автор: Millard Ayo

Загружено: 2021-05-25

Просмотров: 58215

Описание:

Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewatia mbaroni Mhasibu na Mwenyekiti wa Jumuiya ya watumiaji Maji wa kijiji cha Berege kilichopo Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma baada ya kubaini ubadhirifu wa fedha katika jumuiya hizo ambapo pia ameagiza kuvunjwa kwa Jumuiya hiyo na kutaka jumuiya zote nchini ziundwe upya kwa kuzingatia uwepo wa wataalamu wa maji na wahasibu wenye Taaluma.

Waliotiwa mbaroni na kupelekwa kuhojiwa katika kituo cha Polisi Wilaya ya Mpwapwa ni Scolastika Simbangulu, ambaye ni Mhasibu na Gideon Chesco Mwenyekiti wa Chombo cha watumiaji maji.

Aweso amesema jumuia hizo zimegeuzwa kichaka cha watu kugawana fedha hali inayozorotesha upatikanaji wa maji hivyo kila Jumuiya nchini zinapoundwa zizingatie uwepo wa watu wenye utaalamu ili kuepusha ubadhilifu wa fedha za maji.

WALIOINGIA KWENYE 18 ZA WAZIRI AWESO WAKIPATA CHA MOTO “ASKARI KAMATA HUYU”

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

VIDEO YA MAKONDA ALIVYOCHARUANA na HUYU DADA ''HAUONGEI na MCHUMBA WAKO HAPA, UNAFANYA DHARAU?''

VIDEO YA MAKONDA ALIVYOCHARUANA na HUYU DADA ''HAUONGEI na MCHUMBA WAKO HAPA, UNAFANYA DHARAU?''

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI na MWEKA HAZINA, WAJICHANGANYA FEDHA za SERIKALI

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI na MWEKA HAZINA, WAJICHANGANYA FEDHA za SERIKALI

AWESO ACHUKIZWA AMSIMAMISHA MENEJA DAWASA KINYEREZI

AWESO ACHUKIZWA AMSIMAMISHA MENEJA DAWASA KINYEREZI "SIJAJA KUCHEZA WALA KUUZA SURA"

WAZIRI AWESO AMBANA KIONGOZI ALIYEMDANGANYA, Ampigia SIMU KATIBU MKUU -

WAZIRI AWESO AMBANA KIONGOZI ALIYEMDANGANYA, Ampigia SIMU KATIBU MKUU - "WAONDOE"...

Waziri Juma Aweso Ashangaa Watendaji wa Maji Kutaja Uchawi Kwenye Maji, Asimulia Alivyowashughulikia

Waziri Juma Aweso Ashangaa Watendaji wa Maji Kutaja Uchawi Kwenye Maji, Asimulia Alivyowashughulikia

MAAMUZI YA TRUMP YAMEMDHOOFISHA ZELENSKY/URUSI ALIAMUA KUTUMIA NGUVU KWA SABABU UALAYA ILIZIDI HAPA

MAAMUZI YA TRUMP YAMEMDHOOFISHA ZELENSKY/URUSI ALIAMUA KUTUMIA NGUVU KWA SABABU UALAYA ILIZIDI HAPA

KIMEUMANA! MKURUGENZI ALIYESEMA HATAMBUI KAULI YA WAZIRI MKUU, RC MAKALLA AULIZWA

KIMEUMANA! MKURUGENZI ALIYESEMA HATAMBUI KAULI YA WAZIRI MKUU, RC MAKALLA AULIZWA "MLISHINDWA NINI"

WAZIRI AWESO Amtumbua MENEJA RUWASA, AKASIRIKA Kukuta MAJI HAYATOKI Kisa ELFU 50 -

WAZIRI AWESO Amtumbua MENEJA RUWASA, AKASIRIKA Kukuta MAJI HAYATOKI Kisa ELFU 50 - "TAFUTA KAZI"..

WAZIRI AMVAA MKANDARASI

WAZIRI AMVAA MKANDARASI "BWAWA LILILOTUMIA MILIONI 600 LIKO WAPI?, POLISI WAKAMATE"

Waziri AWESO AMTUMBUA ELIZA bila huruma, wananchi walipuka kwa shangwe

Waziri AWESO AMTUMBUA ELIZA bila huruma, wananchi walipuka kwa shangwe

HAPATOSHI BUNGENI MPINA NA BASHE | HIZI NI DAKIKA 21 ZA MJADALA MKALI |

HAPATOSHI BUNGENI MPINA NA BASHE | HIZI NI DAKIKA 21 ZA MJADALA MKALI | "MPINA ULETE USHAHIDI"

WAZIRI MKUU AKASIRISHWA AMWASHIA MOTO MTUMISHI,

WAZIRI MKUU AKASIRISHWA AMWASHIA MOTO MTUMISHI, "MMEJENGAJE MILIONI 11 HII NYUMBA, SITOWAVUMILIA"

WAANDISHI WA HABARI WAMKABIA JUU WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NA MASWALI MAGUMU

WAANDISHI WA HABARI WAMKABIA JUU WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NA MASWALI MAGUMU "MNAFICHA NINI?"

MWANA FA BUNGENI, ASHUSHA NONDO, WAZIRI AWESO ACHUKUA PENI NA KUANDIKA...

MWANA FA BUNGENI, ASHUSHA NONDO, WAZIRI AWESO ACHUKUA PENI NA KUANDIKA...

"TUNAMSIMAMISHA KAZI" AWESO ASHTUKIZA DAWASA, AZAMA CHINI YA TENKI KUKAGUA MAJI NA KUYABAINI HAYA

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA OFISI ZA RUWASA/AMUAGIZA WAZIRI AWESO KUFUATILIA UTENDAJI KAZI WA MAMLAKA.

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA OFISI ZA RUWASA/AMUAGIZA WAZIRI AWESO KUFUATILIA UTENDAJI KAZI WA MAMLAKA.

WAZIRI AWESO AMPANDISHA CHEO MENEJA RUWASA SIMIYU JUKWAANI, AGAWA PESA ZAKE za MATUMIZI...

WAZIRI AWESO AMPANDISHA CHEO MENEJA RUWASA SIMIYU JUKWAANI, AGAWA PESA ZAKE za MATUMIZI...

KAMATI YA MARIDHIANO SIX JUSSA JUSSA JUSSA 14 APRIL 2014

KAMATI YA MARIDHIANO SIX JUSSA JUSSA JUSSA 14 APRIL 2014

NUSU ATOKWE NA MACHOZI WAZIRI AWESO AZUNGUMZA MANENO MAZITO MBELE YA RAIS SAMIA, ULIKUWA MFUPA MGUMU

NUSU ATOKWE NA MACHOZI WAZIRI AWESO AZUNGUMZA MANENO MAZITO MBELE YA RAIS SAMIA, ULIKUWA MFUPA MGUMU

KIVUMBI DODOMA: WAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI 11, YUPO aliyekuwa MKURUGENZI wa JIJI

KIVUMBI DODOMA: WAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI 11, YUPO aliyekuwa MKURUGENZI wa JIJI

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]