Inakuwaje Gambia inauza mbao na miti China ilihali haina misitu?, Ufichuzi wa BBC AFRICA EYE.
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2020-03-09
Просмотров: 16352
Gambia imekuwa ikisafirisha zaidi ya tani laki tatu, za mbao zinazotokana na miti ya Mwaridi ama Rosewood kwenda nchini China tangu mwaka 2017, Rais wa nchi hiyo Adama Barrow alipoingia madarakani.
Uchunguzi uliofanywa na BBC Africa Eye umeonesha kuwa mbao nyingi hupatikana kimagendo kutoka nchi jirani ya Senegal, ambako misitu ya nchi hiyo imekuwa ikiporwa kwa kiasi kikubwa, licha ya miti hiyo ya mwaridi inayopatikana Afrika Magharibi kulindwa.
#BBCAfricaEye
#Rosewood
#Gambia
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: