MHE ULENGE, MSIICHUKULIE POA TANGA JIJI, TUNAHITAJI MAENDELEO.
Автор: Apo Media
Загружено: 2025-12-05
Просмотров: 533
MHE ULENGE, MSIICHUKULIE POA TANGA JIJI, TUNAHITAJI MAENDELEO
Mbunge wa viti Maalumu Ccm Mkoa Wa Tanga Mhandisi Mwanaisha Ulenge amesema awamu hii ni wakati wa mapambano katika kuisukuma Tanga kwa maendeleo ya kasi hivyo Mkoa wa Tanga usichukuliwe Poa
Ameyasema hayo kwenye kikao cha kwanza cha baraza la madiwani wa halmashauri ya jiji la Tanga
Mhe ulenge amewaomba watendaji kila wanachokifanya wafikirie namna gani wanakwenda kutatua changamoto na kuacha tabasamu katika nyoyo za wananchi wa Tanga
Amesema Adhima kubwa ya rais Dkt Samia Suluhu Hassan anatamani kuacha tabasamu katika nyuso za wananchi watanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: