Ibada ya wafu kwa watoto 10 waliofariki yafanywa Kitui
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2018-08-09
Просмотров: 9166
Misa ya wafu kwa watoto 10 waliopoteza maisha yao katika ajali ya barabarani usiku wa Jumamosi iliyopita , imefanyika leo huko Mwingi, kaunti ya Kitui.
kwenye hotuba za waliozungumza, wito umetolewa kwa usimamizi wa shule kuzingatia sheria za trafiki kwa mabasi ya shule kufanya kazi kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni. Baada ya ajali hiyo, jiwe la kumbu kumbu limepangiwa kuwekwa katika eneo la ajali.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
http://citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
/ citizentvkenya
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: