Milima Ya Uluguru - Morogoro | Official Trailer
Автор: Wanene Tv
Загружено: 2021-02-05
Просмотров: 795
Mkoa wa Morogoro umebarikiwa kuwa na vivutio vingi vya utalii ukihusisha mbuga zenye bio-anuai nyingi na mandhari za kupendeza, milima,maporomoko ya maji, vyanzo vya maji, na wanyamapori, ndege wa aina mbalimbali, mapango ya kihistoria, maeneo ya njia za watumwa na misitu minene na safu za milima.
#JukwaaLaJamii #WaneneTv #MountUluguru
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: