MWANAMKE ALIYEMPIGA RISASI JIRANI KWA KISINGIZIO CHA KUVAMIWA | — SIMULIZI ZA KUTISHA
Автор: BONGO SPOTLIGHT NA BRAYDEN
Загружено: 2025-10-13
Просмотров: 2
Kisa hiki kinamzungumzia Tracey Ann Richter, mwanamke kutoka Iowa, Marekani, aliyemfyatulia risasi jirani yake kijana wa miaka 20, akidai alikuwa ameivamiwa na kulazimika kujilinda pamoja na watoto wake.
Lakini uchunguzi ulifichua siri kubwa zaidi—je, ilikuwa kweli ni kujilinda au njama ya mauaji iliyopangwa kwa makini?
Hii ni moja ya kesi zilizotikisa Marekani na kuibua mjadala mkubwa: mama shujaa au muuaji wa kutisha?
🔔 Usisahau ku-subscribe kwa visa zaidi vya True Crime kwa Kiswahili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: