Viongozi duniani walaumu uvamizi wa majengo ya bunge na seneti nchini Marekani
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2021-01-08
Просмотров: 583
Hatua ya mamia ya wafuasi wa rais wa Marekani Donald Trump kuyavamia majengo ya Bunge la Marekani, maarufu kama Capitol Hill mjini Washington, imesababisha maoni mengi kutolewa kote duniani. #Kurunzi 07.01.2021
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: