RC SHIGELA ACHANGIA MATOFALI 2000 KUKAMILISHA MADARASA, AWAPONGEZA
Автор: Jambo FM Radio Tanzania
Загружено: 2025-11-12
Просмотров: 19
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela ametembelea na kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa shule ya msingi Nyantindili iliyo katika halmashauri ya Manispaa ya Geita na kupongeza usimamizi mzuri wa mradi huo wa ujenzi wa jumla ya vyumba vitano vya madarasa,ukamilishaji wa vyumba viwili vya madarasa na ujenzi wa matundu sita ya choo wa gharama ya milioni 163.6
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: