Ukiondoa kufikiri, unaondoa thamani ya kuishi.” (Mithali
Автор: Gwakisa Mwaipopo
Загружено: 2025-09-20
Просмотров: 93
Maisha bila kufikiri ni kama mwili bila roho, gari bila injini, taa bila mwanga. Mungu alitupa akili kama taa ya ndani – roho ya mwanadamu ni taa ya Bwana ichunguzayo moyo. Hii maana yake ni kwamba thamani ya maisha haitokani na mali au heshima, bali na uwezo wa kufikiri, kutafakari, na kuelewa kusudio la Mungu juu yetu.
Katika video hii, tunakumbushwa kuwa kufikiri ni zawadi ya Mungu inayotupa mwelekeo wa maisha. Kukosa kufikiri ni kuishi katika giza; kufikiri ni kuishi kwa thamani na kusudi.
#UkiondoaKufikiri #ThamaniYaKuishi #Mithali2027 #VoiceOfHope #MahubiriYaKiswahili #SwahiliSermon #NenoLaMungu #UjumbeWaImani #ChristianMotivation #DailyWord #PropheticWord #VoiceOfHopeMedia #VoiceOfHopeReflections #HopeInChrist #BiblicalWisdom #MafundishoYaBiblia #YesuNiUzima #GospelInSwahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: