Mwanakwerekwe Renovation
Автор: kwabijokha
Загружено: 2016-11-05
Просмотров: 340
Al salaam alaykum wa rahmatullah wa barakatuhu
Asanteni sana ndugu zetu kutoka Oman. Kama mnakumbuka tulikusanya mchango wa kutengeneza Mwanakwerekwe sehemu ya kukoshea maiti.
Alhamdulilah kazi imemalizika. Allaha akupeni kila la kheri duniani na akhera
Umi Ansell
Thubayta Seif
Fahima Riyami (Wendy)
November 2016
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: