Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Sehemu ya Mahubiri ya Askofu Dkt. Mbilu,Usharika Mteule wa Msomera, Mtaa wa Makayo

Автор: KKKT DKMS Online TV

Загружено: 2025-07-31

Просмотров: 303

Описание:

MAKAYO KOROGWE: Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania - Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMs) amewataka Wakristo kuacha kufuata mafundisho potofu na badala yake wachukue jukumu la kuyashuhudia Maandiko Matakatifu kwa wengine.

Akizungumza Alhamisi, Julai 31, 2025, wakati wa Ibada ya Kipaimara iliyofanyika katika Jimbo la Magharibi, Usharika Mteule wa Msomera, Mtaa wa Makayo, Askofu Dkt. Mbilu alisisitiza kuwa ni wajibu wa kila mmoja kushuhudia nuru ya kweli na upendo wa Yesu Kristo.

Askofu Dkt. Mbilu amewataka washirika wa Mtaa wa Makayo, ambao wengi wao ni jamii ya wafugaji wa Kimasai, kuacha kuwasikiliza watu wanaokwenda maeneo yao na kudai kuleta "nuru ya Wamasai," akisisitiza kuwa Yesu anatosha na yeye ndiye Nuru ya Ulimwengu. Aliwahimiza kuiga mfano wa Yesu Kristo, ambaye aliupenda ulimwengu wote na hakuja kwa ajili ya Wamasai pekee bali kwa ajili ya ulimwengu mzima.

Katika Ibada hiyo ilitanguliwa na ufunguzi wa Kanisa la Usharika Mteule wa Msomera, Mtaa wa Makayo. Jumla ya vijana 64 walibarikiwa na walichangia Tsh. 310,000 na mara baada ya kuungwa mkono na wanaume na wanawake waliohudhuria Ibada hiyo, jumla ya shilingi 585,000 zilipatikana na zitaelekezwa katika ulipaji wa deni la Dayosisi.
Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii
INSTAGRAM - / elctned
FACEBOOK ACCOUNT North Eastern Diocese
FACEBOOK PAGE - ELCT-North Eastern Diocese
YOUTUBE - / KKKT DKMS Online TV
WEBSITE: www.elctned.org
KWA MAONI NA USHAURI:
Simu : +255 743 399 798
255 743 399 798

Sehemu ya Mahubiri ya Askofu Dkt. Mbilu,Usharika Mteule wa Msomera, Mtaa wa Makayo

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

KKKT vijana machimbo- Э БВАНА ТЕТА

KKKT vijana machimbo- Э БВАНА ТЕТА

MKATOLIKI (Official video) - Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi

MKATOLIKI (Official video) - Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi

IBADA YA KUINGIZWA KAZINI MKUU WA JIMBO LA ILEMBULA MCH. Saudi mpimbi

IBADA YA KUINGIZWA KAZINI MKUU WA JIMBO LA ILEMBULA MCH. Saudi mpimbi

Sehemu ya Salamu za Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu Kanisa Kuu Lushoto.

Sehemu ya Salamu za Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu Kanisa Kuu Lushoto.

NDUMBARO ASIMULIA DAKIKA ZA MWISHO KIFO CHA JENISTA MHAGAMA

NDUMBARO ASIMULIA DAKIKA ZA MWISHO KIFO CHA JENISTA MHAGAMA "JANA HALI YAKE ILIKUWA NZURI TU"

Sehemu ya Mahubiri ya Askofu wa KKKT-DKMs aliloyatoa kwenye Ibada ya Jumapili Usharika wa Ngwelo B

Sehemu ya Mahubiri ya Askofu wa KKKT-DKMs aliloyatoa kwenye Ibada ya Jumapili Usharika wa Ngwelo B

KWAYA YA UMOJA - NINATAKA KUINGIA [TUMWABUDU MUNGU WETU (154)] (KKKT WAZO HILL)

KWAYA YA UMOJA - NINATAKA KUINGIA [TUMWABUDU MUNGU WETU (154)] (KKKT WAZO HILL)

🔴#LIVE: IBADA MAALUMU YA UZINDUZI WA NYUMBA ZA IBADA YA WATOTO & SHAMBA LA MAZIKO

🔴#LIVE: IBADA MAALUMU YA UZINDUZI WA NYUMBA ZA IBADA YA WATOTO & SHAMBA LA MAZIKO

MATUKIO MATATU MAKUBWA YALIYOIBUA HISIA ZA WANAJIMBO LA KILIMANJARO KATI  NA BABA ASK. DR. F. SHOO

MATUKIO MATATU MAKUBWA YALIYOIBUA HISIA ZA WANAJIMBO LA KILIMANJARO KATI NA BABA ASK. DR. F. SHOO

KWAYA YA KANANI WAKIIMBA KWENYE IBADA YA KUINGIZWA KAZINI DEAN MNTANGI

KWAYA YA KANANI WAKIIMBA KWENYE IBADA YA KUINGIZWA KAZINI DEAN MNTANGI

Salamu za Askofu Dkt.  Msafiri Joseph Mbilu Usharika wa Kana

Salamu za Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu Usharika wa Kana

Асимметричные Войны 19 Века: Кого На Самом Деле ЗАЧИЩАЛИ По Всему Миру?

Асимметричные Войны 19 Века: Кого На Самом Деле ЗАЧИЩАЛИ По Всему Миру?

ASKOFU DKT.SHOO AZINDUA NYUMBA YA IBADA ILIYOJENGWA KWA ZAIDI YA BILIONI 2 USHARIKA WA MAJENGO

ASKOFU DKT.SHOO AZINDUA NYUMBA YA IBADA ILIYOJENGWA KWA ZAIDI YA BILIONI 2 USHARIKA WA MAJENGO

Kwaya ya Vijana KKKT-DKMs Jimbo la Pwani Usharika wa Mikanjuni-TAMASHA LA ASKOFU NA VIJANA 2025

Kwaya ya Vijana KKKT-DKMs Jimbo la Pwani Usharika wa Mikanjuni-TAMASHA LA ASKOFU NA VIJANA 2025

"TUMEUMIA SANA HATUTOKUWA TAYARI KUFICHA MAPENZI KWA JANUARY MAKAMBA" WANANACHI WA BUMBULI WAFUNGUKA

TAMASHA LA ASKOFU NA VIJANA 2025 KKKT-DKMs

TAMASHA LA ASKOFU NA VIJANA 2025 KKKT-DKMs

ДНК армян — одно из генетических чудес планеты

ДНК армян — одно из генетических чудес планеты

Sehemu ya Mahubiri ya Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu akiwa Usharika wa Tamota.

Sehemu ya Mahubiri ya Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu akiwa Usharika wa Tamota.

Sehemu ya Mahubiri ya Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu Usharika wa Kanisa Kuu Lushoto.

Sehemu ya Mahubiri ya Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu Usharika wa Kanisa Kuu Lushoto.

Rev. Dr. Faustin Kamugisha: SALA YA BABA YETU NI SILAHA YA VITA

Rev. Dr. Faustin Kamugisha: SALA YA BABA YETU NI SILAHA YA VITA

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]