Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Magufuli asema wanafunzi waliofukuzwa vyuoni ni vilaza, Ampongeza Ndalichako kuwafukuza

Автор: JamiiForums

Загружено: 2016-06-02

Просмотров: 158161

Описание:

Rais Magufuli amehutubia wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi wa ujenzi wa maktaba ya chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Rais ameongelea waliodahiliwa chuo cha St. Joseph bila vigezo kwa kumaliza kidato cha nne ilhali wamefeli wakati waliomaliza kidato cha sita na wenye sifa wamekosa mkopo. Magufuli kasema anamsifu Ndalichako kwa kuwafukuza pia amemsifu professa Rwekandara kwa kusajili wanafunzi waliofulu pekee.

Rais Magufuli amekiongelea chuo kikuu cha Dodoma kwa kupokea wanafunzi wa kidato cha nne, amesema makamu mkuu wa chuo cha Dodoma, Prof Kikula alilazimishwa kupokea wanafunzi hao.

Magufuli ametaka watanzania waache siasa kwenye masuala ya msingi. Amesema pesa badala ya kwenda kwenye mambo ya msingi ya kujenga barabara yanaenda kwa vilaza. Amesema Kikwete amempa kazi ngumu.

Magufuli asema wanafunzi waliofukuzwa vyuoni ni vilaza, Ampongeza Ndalichako kuwafukuza

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Magufuli amkaribisha Kikwete UDSM, Ataka Rais amsaidie

Magufuli amkaribisha Kikwete UDSM, Ataka Rais amsaidie

Magufuli: Marais wa EAC wamefanya kosa sana kunichagua mwenyekiti

Magufuli: Marais wa EAC wamefanya kosa sana kunichagua mwenyekiti

LIVE: MAGUFULI AMKATAZA MKURUGENZI KUONGEA KIINGEREZA

LIVE: MAGUFULI AMKATAZA MKURUGENZI KUONGEA KIINGEREZA "NITAKIFUNGA"

JUKWAA LA WAANDISHI WA HABARI WALIVYOMBANA WAZIRI MKUU MWIGULU, TUMEPOTEZA UWAMINIFU KWA WANANCHI

JUKWAA LA WAANDISHI WA HABARI WALIVYOMBANA WAZIRI MKUU MWIGULU, TUMEPOTEZA UWAMINIFU KWA WANANCHI

HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI ALIYOTOA KWA WAKURUGENZI WA HAMASHAURI,JULY 12,2016 IKULU DSM mp4

HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI ALIYOTOA KWA WAKURUGENZI WA HAMASHAURI,JULY 12,2016 IKULU DSM mp4

Rais Magufuli Aruhusu Wimbo WAMO wa Nay Upigwe Redioni Licha ya Kuiponda Serikali

Rais Magufuli Aruhusu Wimbo WAMO wa Nay Upigwe Redioni Licha ya Kuiponda Serikali

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA  mp4

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA mp4

Ziara ya Rais Magufuli kwenye Bandari ya Dar es salaam

Ziara ya Rais Magufuli kwenye Bandari ya Dar es salaam

Kimenuka, Magufuli Akabidhiwa Majina ya Watumishi wenze Vyeti Feki

Kimenuka, Magufuli Akabidhiwa Majina ya Watumishi wenze Vyeti Feki

MKURUGENZI ATETEMEKA KWA UOGA

MKURUGENZI ATETEMEKA KWA UOGA "NAOMBA UNISAMEHE RAIS SITO RUDIA TENA ‘’

Rais Magufuli akijibu swali la Paschal Mayalla, aelezea kuingilia mihimili mingine ya Serikali

Rais Magufuli akijibu swali la Paschal Mayalla, aelezea kuingilia mihimili mingine ya Serikali

Nchi yetu imechezewa sana, Nahawa wanaotuchezea sifahamu sisi wanatuona kama binadamu au Nimajitu tu

Nchi yetu imechezewa sana, Nahawa wanaotuchezea sifahamu sisi wanatuona kama binadamu au Nimajitu tu

Magufuli atangaza Baraza la Mawaziri

Magufuli atangaza Baraza la Mawaziri

WAZIRI MKUU MWIGULU kwa UKALI AFICHUA MCHEZO MCHAFU UNAOENDELEA -

WAZIRI MKUU MWIGULU kwa UKALI AFICHUA MCHEZO MCHAFU UNAOENDELEA - "INAKASIRISHA - WANAGAWA WATU"..

Magufuli  Apandisha Hasira Kali,

Magufuli Apandisha Hasira Kali, "Wanatudanganya nini Vilaza Wakubwa, Mnaanza kuchoma"

Rais Magufuli atinga Bungeni, wapinzani watolewa nje

Rais Magufuli atinga Bungeni, wapinzani watolewa nje

Hotuba Ya Rais Magufuli Iliyotikisa Viongozi Wakubwa Duniani, Ujasiri Wake

Hotuba Ya Rais Magufuli Iliyotikisa Viongozi Wakubwa Duniani, Ujasiri Wake

Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake

Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake

ВСПОМИНАНИЯ ПРЕЗИДЕНТА ДОКТОРА ДЖОНА ПОМБЕ МАГУФУЛИ ВО ВСТРЕЧЕ С АЛЬХАДЖИ ДАНГОТЕ 10 ДЕКАБРЯ 2016...

ВСПОМИНАНИЯ ПРЕЗИДЕНТА ДОКТОРА ДЖОНА ПОМБЕ МАГУФУЛИ ВО ВСТРЕЧЕ С АЛЬХАДЖИ ДАНГОТЕ 10 ДЕКАБРЯ 2016...

MWIGULU BILA UOGA ATOA KAULI KUHUSU WATU KUTEKWA NA KUPOTEA/TUKAE TUZUNGUMZE''

MWIGULU BILA UOGA ATOA KAULI KUHUSU WATU KUTEKWA NA KUPOTEA/TUKAE TUZUNGUMZE''

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]