Uhusiano Wako Na Watu Unaweza Kukuvuta Peponi au Motoni
Автор: Halaal Charity Tv
Загружено: 2025-11-23
Просмотров: 75
Katika khutba hii ya leo tunafichua namna uhusiano wako na watu unavyoweza kukuvuta kuelekea Pepo au Moto. Jifunze umuhimu wa tabia njema, kutenda wema kwa waja, na kufuata mafunzo ya Mtume (saw) katika kuishi na watu kwa hekima na huruma. Ujumbe huu utakusaidia kujenga tabia zinazomridhisha Allah na kukuepusha na madhara ya kuwatendea watu vibaya.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: