MAPYA WACHINA WA MABILLION MAHAKAMANI WAMESEMA BILLION 2, WAMEPELEKWA GEREZANI
Автор: UHURU MEDIA ONLINE
Загружено: 2026-01-08
Просмотров: 6258
Wachina wa Mabillion wamepelekwa gerezani kesi yao ambayo ni KESI ya uhujumu uchumi haina shamana. Raia wawili WA china ambao ni Weisi Wang na Yao likong waliokamatwa na mbillion wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Hapo awali ilidhaniwa ni billion 6 taarifa ambayo takukuru wamekanusha na kudai kuwa ilikua ni billion 2 jambo ambao limeibua wasiwasi. Washtakiwa wao wanashukiwa kutenda utakarishaji fedha ambapo imeelezwa kwamba katika maeneo mbali mbali nchini washtakiwa walijipatia mali ambazo ni dollar za kimarekani 707075 sawa na zaidi ya Billion 1.7 na fedha taslumu za kitanzania zaidi ya million 2.8, watuhumiwa pia wanatuhumiwa kumiliki genge la uhalifu lililokuwa linajihusisha na kugushi nyaraka, Kunakili kadi za ATM, kukwepa Kodi na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.
##wachina #mahakamani #polisi #polisitanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: