MAJESHI YAJIFUA BARABARANI MWANZA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2024-08-18
Просмотров: 8491
MWANZA: KAMANDA wa Polisi Mkoa Mwanza, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Wilbrod Mutafungwa mapema hii leo Agosti, 2024 ameongoza vyombo vya usalama vilivyopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mkoa wa Mwanza, kwaajili ya kufanya matembezi ya hiyari katika mitaa mbalimbali ndani ya Jiji la Mwanza ambapo matembezi hayo yamejumuisha Askari kutoka Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji .
Mazoezi hayo ya pamoja yanalenga kuhimarisha ushirikiano na utimamu wa mwili na akili katika kutekeleza majukumu ya kulinda Nchi ,Raia na Mali zao huku kamanda Mutafungwa akisema kuwa mbali na kuongeza ari katika utekelezaji wa majukumu ya ulinzi na usalama lakini pia yanaongeza ushirikiano baina yao huku akiwapongeza Askari wote walioshiriki kwa kuwa na mwitikio mzuri.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: