| MWANAMKE BOMBA | Mwanamuziki mashuhuri Nyota Ndogo
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2022-11-22
Просмотров: 30362
Wasanii wengi humu nchini wamekuwa wakivuma na kisha kupoteza umaarufu wao baada ya muda. Mwanaisha Abdallah maarufu kama nyota ndogo ni Msanii ambaye alivuma Kwa vibao vyake vyenye ujumbe mzito WA maisha lakini Kwa sasa ni nadra kwake kuskika na kibao kipya. Bila Shaka wengi watajiuliza jee Yuko wapi Kwa sasa na anajimudu vipi kimaisha. Hii hapa simulizi yake katika makala yetu ya Mwanamke Bomba
#mwanamkeBomba #Nyotandogo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: