TAZAMA USAJILI BAB KUBWA ULIOFANYWA NA KLABU YA YANGA SC |MPANZU AHUSISHWA, ZIMBWE HATUA ZA JIOONII😂
Автор: MOKAH360
Загружено: 2025-07-23
Просмотров: 267
klabu ya yanga ambayo makao makuu yake katikati ya jiji la dar es salaam Tanzania, imeweka wazi wachezaji wakali ambao wamewasajili kwaajili ya msimu ujao ili kuhakikisha wanakwenda sambamba na malengo waliojiwekea,
kama klabu imefanya utambulisho wa baadhi ya wachezaji ambao wamewasajili na wengine ambao wamewaongezea mikataba na kuweka wazi wachezaji ambao hawataendelea nao kwenye msimu ujao gusa video kutazama☝️
#yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangascmedia #facts #usajilimpyayanga #yangafans
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: