SAFARI PANGONI (Live Recording) - Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi Ft Orel Studios
Загружено: 2025-12-17
Просмотров: 922
Tunaalikwa kujiunga na mamajusi katika safari kuelekea pangoni, pale alipolala Yesu Kristo kwa unyenyekevu mkubwa, ili tukutane na Mkombozi wetu. Ni mwito wa kuacha mambo ya ulimwengu, tamaa na kelele za maisha, na kuchagua kumfuata Kristo kwa moyo wote kama walivyofanya Mamajusi. Safari Pangoni ni wimbo unaotukumbusha kuwa wokovu haupatikani katika fahari za wokovu, haupatikani katika fahari za dunia, bali katika unyenyekevu, utiifu na kumtafuta Yesu kwa dhati.
#choir #gospelmusic #christmas #safaripangoni #music #catholic
WIMBO:SAFARI PANGONI.
MTUNZI: EMIL SHAYO.
WAIMBAJI: KWAYA YA MT.SECILIA MAKUBURI.
PRODUCTION AND SETUP: OREL STUDIOS
BAND: BAND OF CHRIST
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: