Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

"Niliacha Kazi Ili Kujitegemea, Nilifilisika, Haikuwa Rahisi" |SALAMA NA DANIEL KIJO PART 1

Автор: YahStoneTown

Загружено: 2022-08-08

Просмотров: 42394

Описание:

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460

Kwenye maisha kuna watu ambao ukitutana nao tu unaamini wana kitu kizuri ndani yao na bila ya shaka watakua na mafanikio mengi tu huko mbele tuendako, hii ndo hisia ambayo mimi nimekua nayo toka siku ya kwanza naonana na Daniel Kijo. Mwerevu, mcheshi, ana muonekano mzuri na mkarimu, ila kubwa kabisa ana akili, mgunduzi na mtafutaji hasa, toka siku ya kwanza.
Ukiachana na kwamba pengine ametoka kwenye familia ambayo kipato chake si kibaya na amesoma shule nzuri sana, Daniel hakuwahi kijikweza na kujiona yeye BORA zaidi ya wengine alionao chumba kimoja.

Nilikutana nae EATV wakati yeye akiwa bado mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam lakini wakati huo huo anafanya kazi ili mambo yake mengine yaende vizuri. Na kazi alikua anaifanya kwelikweli, ikiwa ya kutaarisha yani kwenda kuitafuta habari na kuifanyia uchunguzi na kuhakikisha inarekodiwa vizuri, na kama itahitaji sauti basi ataiwekea na mwisho kabisa yeye ndo atakua mtangazaji wa hiko kipindi wakati watazamaji wanakiona kwa mara ya kwanza.
Nadhani utashi huo ndo ulimfanya aone unajua nini, mbona mi naweza kufanya mwenyewe hii? Mbona nisitoke tu hapa na kuanzisha kitu changu mwenyewe? Na hilo alilifanya.

Daniel ananielezea mitihani aliyopitia baada ya kuamini kama anaweza kufanya shughuli za uzalishaji wa vipindi na mauzo mara baada ya kujikusanyia PENSHENI yake, anakumbuka kama wakati huo ulikua ukiacha kufanya kazi, ulikua na uwezo wa kwenda kuchukua NSSF yako na ukajianzishia biashara yako. Daniel anasema alienda akanunua ma camera na vifaa vyengine akiamini kabisa kama maisha ndo yameanza sasa, ila dunia ndo ilimuonyesha kwamba ki ukweli vitu si RAHISI kama ambayo alikua anadhania. Na kwenye kipindi hiki ndo ambacho aliwajua Ndugu zake ni nani na marafiki zake ni nani. Maana Rhumba lilikua si la NCHI hii.

Daniel ameshawahi kuanzisha na kufanya vipindi mbali mbali vya TV hapa nyumbani na kwenye TV stations tofauti tofauti kwahiyo ashakutana na mabosi na wafanyakazi wa aina tofauti tofauti sana. Na akiwa huko kwenye safari yake hiyo ndo imemjenga awe huyu ambaye tunampenda na kujifunza kutoka kwake sasa.
Miaka ya hivi karibuni Daniel amekua akiyafanyia kazi mashirika mbalimbali ya habari ya kimataifa hapa nyumbani na hii ni kazi ambayo yeye na MKE wake walipambana nayo sana mpaka ikadondokea kwenye mapaja yao.

Daniel pia anatuhadithia jinsi ambavyo alikutana na mke wake, mazingira ambayo walikutana na jinsi ambavyo walianza kuongea, mara ya kwanza alivyompeleka kwa wazazi wake na jinsi ambavyo wanaishi kwa misingi ya kujijali wao na afya zao. Daniel anatuambia jinsi ambavyo anapenda anavyokua anaenda shuleni kwa mtoto wake na kuwa yeye ndo Baba cool kuliko wazazi wengine, na hii anaipambania sana kwasababu ni moja ya vitu vinavyompa raha. Daniel anapenda mazoezi, analinda afya ya akili yake na mwili wake na ni mtu ambaye anajifunza sana, tena kila siku.

Yangu matumaini episode hii yangu na Rafiki yangu itakusaidia hapa na pale kuhusu kujiamini na kujijali ki mwili na ki roho maana mwisho wa siku, hakuna anayekuja kukusaidia kwenye hayo. Mwisho wa siku hayo ni maisha yako na jinsi gani unataka kuyaishi ki ukweli ni juu yako.

Tafadhali enjoy,
Love,
Salama.

Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs

Listen our Podcast on
Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa

Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...  

Follow:
Twitter:   / yahstonetown  
Instagram:   / yahstonetown  
Facebook:   / yahstonetown  

Channel Administered by Slide Digital
Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

"Niliacha Kazi Ili Kujitegemea, Nilifilisika, Haikuwa Rahisi" |SALAMA NA DANIEL KIJO PART 1

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Salama Na CAROLA KINASHA SE6 EP30 | KUJIVUNIA, INAWEZEKANA PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na CAROLA KINASHA SE6 EP30 | KUJIVUNIA, INAWEZEKANA PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Elimu Ya Pesa: Boom La Chuo Lilivyoweza Kununua Kiwanja | SALAMA NA DANIEL KIJO PART 2

Elimu Ya Pesa: Boom La Chuo Lilivyoweza Kununua Kiwanja | SALAMA NA DANIEL KIJO PART 2

Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1

Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1

EXCLUSIVE: JESCA MAGUFULI ASIMULIA SIKU ZA MWISHO ZA RAIS MAGUFULI KABLA YA KIFO (SAUTI IMEBORESHWA)

EXCLUSIVE: JESCA MAGUFULI ASIMULIA SIKU ZA MWISHO ZA RAIS MAGUFULI KABLA YA KIFO (SAUTI IMEBORESHWA)

'Nilivyopoteza MTAJI wangu wote kwenye SAFARI yangu ya kwanza CHINA nakushauri usifanye kosa hili'

'Nilivyopoteza MTAJI wangu wote kwenye SAFARI yangu ya kwanza CHINA nakushauri usifanye kosa hili'

Mkasi - S02E06 with Rita Paulsen

Mkasi - S02E06 with Rita Paulsen

Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1

Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1

Salama Na OSCAR OSCAR SE6 EP39 | UALIMU?! SI WITO!! PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na OSCAR OSCAR SE6 EP39 | UALIMU?! SI WITO!! PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

🔴#LIVE: LAVI DAVI MUDA HUU NDANI YA  WASAFI FM  - 15 December, 2023

🔴#LIVE: LAVI DAVI MUDA HUU NDANI YA WASAFI FM - 15 December, 2023

"Nilianza Kujitegemea Nikiwa Na Miaka 17" AY Afunguka Maisha Kabla Ya Umaarufu | SALAMA NA AY PT 1

Dina Afunguka Chanzo Cha Kuacha Kazi Clouds :

Dina Afunguka Chanzo Cha Kuacha Kazi Clouds : "Akufukuzaye Hakwambii Toka" | SALAMA NA DINA PART 2

Salama Na ANNA TIBAIJUKA SE6 EP58 | LA PROFESSEUR PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na ANNA TIBAIJUKA SE6 EP58 | LA PROFESSEUR PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

PETER MARAHA: Kutoka KUISHI na KULALA kwenye GARI Mwanza hadi kuwa na GARAGE kubwa na maarufu zaidi

PETER MARAHA: Kutoka KUISHI na KULALA kwenye GARI Mwanza hadi kuwa na GARAGE kubwa na maarufu zaidi

Safari Ya Adam Mchomvu, Kusoma Uganda Mpaka Kufanya Kazi Clouds | SALAMA NA ADAM MCHOMVU PART 1

Safari Ya Adam Mchomvu, Kusoma Uganda Mpaka Kufanya Kazi Clouds | SALAMA NA ADAM MCHOMVU PART 1

BILIONEA MULOKOZI AKUBALI KUSIMULIA KILICHOMTAJIRISHA

BILIONEA MULOKOZI AKUBALI KUSIMULIA KILICHOMTAJIRISHA "NILIANZA NA MTAJI WA MILIONI 20" - EPISODE 3

Simulizi Ya Dayna: Kuolewa Katika Umri Mdogo Mpaka Kuwa Staa Mkubwa Tanzania | SALAMA NA DAYNA PT 1

Simulizi Ya Dayna: Kuolewa Katika Umri Mdogo Mpaka Kuwa Staa Mkubwa Tanzania | SALAMA NA DAYNA PT 1

Ինչքան «ստանոկն» ըշխատումա, պտի ըշխատացնես որ շատ ըրեխա ծնվի. շուլուխչի Աբոյի կատակները

Ինչքան «ստանոկն» ըշխատումա, պտի ըշխատացնես որ շատ ըրեխա ծնվի. շուլուխչի Աբոյի կատակները

ИНЖЕНЕР: «Мы нашли клуб, живущий в Манзесе, Галиб взял на себя все расходы | БЕЗОПАСНОСТЬ С ИНЖЕН...

ИНЖЕНЕР: «Мы нашли клуб, живущий в Манзесе, Галиб взял на себя все расходы | БЕЗОПАСНОСТЬ С ИНЖЕН...

ЛАРИСА ДОЛИНА: Чем кончится скандал / Обида на мать / Комплекс уродины / Отношения с дочкой

ЛАРИСА ДОЛИНА: Чем кончится скандал / Обида на мать / Комплекс уродины / Отношения с дочкой

Salama Na LULU DIVA SE6 EP61 | UKIPATA KINYAKUE… PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na LULU DIVA SE6 EP61 | UKIPATA KINYAKUE… PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]