SIMULIZI YA BINTI IDA - [ SITOSAHAU NILIVYOKUTANA NA PACHA WANGU WA KUZALIWA TUMBO MOJA ARUSHA ]
Автор: Chilimo Simulizi
Загружено: 2025-12-23
Просмотров: 5136
Katika Dunia hii si kila king'aacho ni dhahabu, vingine ni Chupa tu hivyo inakupasa uwe makini kwa kila hatua unayopiga. Maisha yanaweza kukupelekea kufanya kitu cha ajabu hata wewe mwenyewe ukashindwa kuelewa baadae kwamba uliwezaje kufanya vile.
Kwa maana matendo mengine tufanyayo binadamu hata shetani mwenyewe anaogopa.Kumbuka kosa moja la leo laweza kuharibu kila kitu kwa siku za mbele kwa maana njiti moja ya kiberiti huweza kuchoma hekari na hekari za msitu.Nini namaanisha kwa kuongea hayo basi nakuomba ungana nami katika story hii ili uweze kujua nini nilikua namaanisha.
.
.
.
#viral_video #friends #fypシ゚viralシfypシ゚ #tanzania #thestorybook #nguvumoja #mungu #daimambelenyumamwiko #diamondplatnumz_trends #sammisago #alikibaunforgettabletour #alikiba #kondeGang #kondegang4everybody #washkajizangu #wasafitv #wcbwasafi #wasafimedia #wasafifm #millardayoupdates #cloudstv #meenaally #mwijaku #cloudsfm #bongo5updates #kingkiba #diamondplatnumz #simulizimedia #ankojaysimulizi #lucaslumbasisimulizi #lumbasisimulizi #simulizimix #simulizifupi #simulizikenya #simuliziuganda #simulizitanzania #simulizizamaisha #lumbasisimulizi #simulizinandoa #harmonize #kenyasimulizi #ankojaysimulizi #eastafricatv #eastafricaradio #simulizinamaisha #kenya #uganda #burundi #rwanda #oman #saudiarabia #zimbabwe #tanga #daressalaam #uchawinasimulizi #magic
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: