LIVE: MAKAMBI UBUNGO HILL || GLORY AFTER CAMP MUSIC CONCERT || 06-09-2025
Автор: Ubungo Hill SDA Church
Загружено: 2025-09-06
Просмотров: 503
Kanisa la Waadventista wa Sabato Ubungo Hill linakualika katika Makambi 2025 // NITAKWENDA NIKIMTUMAINI YESU.
Tarehe: 30/08 - 06/09/2025
Mahali: Kanisa la Waadventista wa Sabato Ubungo Hill
Wahudumu;
1. Mch. Abieza Ntahali
2. Mch. Reward Mbaga
3. Dr. Watson Mwaibasa
4. Ev. Anania Msola
5. Mch. Shemu Lugwisha
Kwaya/Kikundi alikwa:
1. Pasiansi Adventist Choir
2. Wazamani Ministry.
Kanisa la Waadventista wa Sabato Ubungo Hill @ubungohillsdachurch linawakaribisha watu wote katika Sikukuu za Vibanda (Makambi 2025).
Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji. Yusuph I. Juma +255 714 917 779
Kama una ushauri au malalamiko kuhusiana matangazo yetu karibu kuwasiliana nasi kwa simu, meseji au WhatsApp kwa namba +255 769 778 357 / +255 752 618 824 au barua pepe ubhillsdacomm@gmail.com au ubhillsda@gmail.com
SADAKA YA SHUKRANI, SADAKA YA UJENZI WA KAMBI, ZAKA NA SADAKA
Unaweza kutoa SADAKA yako kupitia Mpesa, LIPA namba: 5233212 , Yas LIPA namba: 5331483, Jina: UBUNGO HILL SDA CHURCH au kupitia Bank Account: 20810047363 (NMB) na 015C493285900 (CRDB) kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 755 694 297 (Mhazini wa Kanisa- Tumaini Mihila).
Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: , watumie na marafiki pia.
Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye:
Facebook Page: Ubungo Hill Sda Church
Instagram: ubungohillsdachurch
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: