Mwinyi ampa Mkurugenzi mpya ZECO miezi 6 kurekebisha mambo la sivyo fyagio litampitia
Автор: Zanzibar Kamili TV
Загружено: 2021-07-11
Просмотров: 16207
Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi amekagua na kutoridhishwa na utendaji wa Shirika la Umeme Zanzibar, ZECO. Kuna miradi mingi ya kifisadi ambayo inatumika kula pesa za walipa kodi ikiwemo uwekaji wa nguzo za umeme. Mwinyi amewatoa kazini baadhi za watumishi wa ZECO huku mkurugenzi ambaye amemteua hivi karibuni akipewa miezi sita arekebishe hali au naye akapumzike apishe watu wapya.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: