Mgaagaa na Upwa: Mfugaji, Wanyama Walemavu
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2011-09-25
Просмотров: 606662
Licha ya kwamba wanyama wa kufugwa huthaminiwa sana na wafugaji lakini wana chanagamoto hasa pale mnyama anapozaliwa na maumbile ya ajabu, au akiwa kilema,huku wengi wakiwatelekeza.kinyume cha hilo ni mpango wa mzee Boniface Ndura kutoka Kitale,ambaye huwanunua mifugo waliolemaa na kuwafuga.kwa sasa ana zaidi ya wanyama hamsini walio na maumbile ya ajabu na kuwa kivutio cha wengi kutoka maeneo mbalimbali.mwanahabari wetu Job Mwaura anatusimulia pandashuka anazozipitia kazini katika makala mapya ya mgaagaa na upwa, yatayayokuwa yanakujia kila siku ya jumanne yakiangzia pandashuka wanazopitia wengi katika utafutaji wa riziki.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: