MBUNGE KABOYOKA AIBANA SERIKALI KUSUASUA KWA UJENZI WA BARABARA YA SAME-MKOMAZI
Автор: KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
Загружено: 2024-02-01
Просмотров: 804
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA), Naghenjwa Livingstone Kaboyoka ameihoji serikali bungeni Januari 31, 2024, kwamba ni nini kinakwamisha ujenzi wa barabara ya Same-Kisiwani -Ndungu hadi Mkomazi licha ya kutengewa fedha miaka minne mfululizo?
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: