Inspekta mkuu na mkurugenzi wa DCI wakosa kufika kortini
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2025-01-17
Просмотров: 6320
Inspekta Mkuu wa Polisi Douglas Kanja na Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi DCI, Mohammed Amin wametakiwa kufika mahakamani tarehe 23 Mwezi huu baada ya kukosa kuhudhuria kikao maalum cha kusikizwa kwa kesi ya visa vya utekaji nyara leo. Wakati huo huo, jaji Chacha Mwita atatoa uamuzi tarehe 23 Mwezi huu iwapo amri ya kuwataka wawili hao kufika mahakamani itasalia baada ya wawili hao kuwasilisha hoja ya kupinga amri hiyo kupitia wakili Paul Nyamodi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: