“Nasema haiwezekani tunaadhibu wananchi” –Hussein Bashe
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-05-18
Просмотров: 23181
Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe ameitaka Serikali kuiondoa bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliyowasilishwa bungeni kwa mwaka wa fedha 2018/19 ili ikajipange upya kwasababu haijajibu changoamoto za wananchi na amemuomba Spika wa Bunge Job Ndugai kuunda tume.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: