Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Walininywesha Sumu, Nilitaka Kujiuzulu...Magufuli asimulia, almanusura imtoe uhai wake

Автор: CHAMPION HABARI

Загружено: 2019-11-12

Просмотров: 300603

Описание:

RAIS John Magufuli amesema utendaji wake wa kazi ambao ulimfanya Rais Benjamin Mkapa akiwa madarakani wakati huo amsifie hadharani, ulisababisha anyweshwe sumu na ilibaki kidogo apoteze maisha.

Ameyasema hayo Jumanne, Novemba 12, 2019, katika uzinduzi wa kitabu cha rais mstaafu Benjamin Mkapa kiitwacho cha ‘My Life, My Purpose’ (Maisha Yangu, Kusudio Langu) uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

“Nilipofanya kazi vizuri Mzee Mkapa hakusita kunisifia na sitosahau siku aliyotangaza kuwa mimi ni askari wake wa mwamvuli, baada ya kutangazwa hivyo nilichukiwa na viongozi wengine tena wa ngazi za juu hadi kufikia hatua ya kunyweshwa sumu Dodoma,” alisema.

“Nashukuru Mungu baada ya kunyweshwa sumu na kupona, nilienda kwa Mzee Mkapa na kumueleza azma yangu ya kujiuzulu, nakumbuka aliniangalia kwa jicho la baba na mwana akanipa ujasiri na kuniambia usijiuzulu, akanipa ulinzi na nikaendelea kuchapa kazi.

“Katika tukio hilo nilimuona Mzee Mkapa kama mtu anayekupa matumaini wakati wewe ukiwa umekata tamaa. Mzee Mkapa nakushukuru sana, nimejifunza kutowasifu wateule wangu hata kama wanafanya mazuri mengi, yasije yakawatokea yaliyonikuta mimi wakati uliponisifia,” amesisitiza Magufuli.

Walininywesha Sumu, Nilitaka Kujiuzulu...Magufuli asimulia, almanusura imtoe uhai wake

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUPOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA MCHANGA WA DHAHABU

HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUPOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA MCHANGA WA DHAHABU

HOTUBA YA RAIS DKT.  JOHN POMBE MAGUFULI  ALIPOWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA - IKULU DSM

HOTUBA YA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ALIPOWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA - IKULU DSM

“Sijawahi kupewa vitu vya burebure ama vitu vya dezo kwa Kiswahili cha mjini - JPM

“Sijawahi kupewa vitu vya burebure ama vitu vya dezo kwa Kiswahili cha mjini - JPM

MKURUGENZI ATETEMEKA KWA UOGA

MKURUGENZI ATETEMEKA KWA UOGA "NAOMBA UNISAMEHE RAIS SITO RUDIA TENA ‘’

MAGUFULI AWAKA, AMSHUSHA BODYGUARD KWENYE GARI, AMNYANG'ANYA MKURUGENZI GARI

MAGUFULI AWAKA, AMSHUSHA BODYGUARD KWENYE GARI, AMNYANG'ANYA MKURUGENZI GARI

HOTUBA YA RAIS DKT JOHN MAGUFULI AKIZINDUA STENDI YA MABASI MBEZI DAR ES SALAAM

HOTUBA YA RAIS DKT JOHN MAGUFULI AKIZINDUA STENDI YA MABASI MBEZI DAR ES SALAAM

DUH! MAGUFULI ASHTUKIA MCHEZO MCHAFU - AMBANA MEYA -

DUH! MAGUFULI ASHTUKIA MCHEZO MCHAFU - AMBANA MEYA - "PESA ZIKO WAPI?"....

Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa

Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa

MAGUFULI -

MAGUFULI - "NILINYWESHWA SUMU, KIKWETE ALINIFUKUZA, SIKUKATA TAMAA"

Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015

Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015

MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO

MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA  mp4

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA mp4

LIVE : RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIWA NJIANI KURUDI DAR ES SALAAM

LIVE : RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIWA NJIANI KURUDI DAR ES SALAAM

KUBWA HII MUME NA MKEWE WABISHANA MBELE YA MAGUFULI, MAMA AMWAGA MACHOZI

KUBWA HII MUME NA MKEWE WABISHANA MBELE YA MAGUFULI, MAMA AMWAGA MACHOZI "NANYANYASHWA"

Magufuli  Apandisha Hasira Kali,

Magufuli Apandisha Hasira Kali, "Wanatudanganya nini Vilaza Wakubwa, Mnaanza kuchoma"

UTATA KIFO CHA KAWAWA/ALITOKA NYUMBANI MZIMA/ALINIOA NIKIWA NA WATOTO/TOFAUTI ZA FAMILIA ZILIKUWEPO

UTATA KIFO CHA KAWAWA/ALITOKA NYUMBANI MZIMA/ALINIOA NIKIWA NA WATOTO/TOFAUTI ZA FAMILIA ZILIKUWEPO

Mkapa aunguruma UDSM, akiri kukosea sera ya ubinafsishaji, agusia katiba mpya

Mkapa aunguruma UDSM, akiri kukosea sera ya ubinafsishaji, agusia katiba mpya

KUHUSU KIFO MANENO YA MWISHO YA RAIS MAGUFULI | MANENO MAZITO KWA KIJAZI

KUHUSU KIFO MANENO YA MWISHO YA RAIS MAGUFULI | MANENO MAZITO KWA KIJAZI

RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA MARADI WA UJENZI WA MACHINJIO  VINGUNGUTI

RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA MARADI WA UJENZI WA MACHINJIO VINGUNGUTI

Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA

Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]