Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

JJ Kabapa Maneno (Video_Official)by geita asili yetu 0789911605

Автор: GEITA ASILI YETU VIDEOS PRODUCTION STUDIOS

Загружено: 2023-07-13

Просмотров: 1453

Описание:

Samahani mashabiki wote wa jj kabapa kwa niaba yake lakini pia samahanini Sana mashabiki wote mnaofuatilia Kazi zetu kutoka hapa studio ‪@buffalo_arts_familly_movies‬

changamoto Katika video hii ya jj kabapa iitwayo Maneno
moja nilipigiwa simu nikiwa location nikishoot video ya msanii ‪@dikakimishawasumbwahalisit7596‬

kabapa akanipigia huku akiniomba kufka katika sherehe hiyo ambayo ilifanyikia kijiji anachoishi jj kabapa kiitwacho #NYANTIMBA
wakati ninamalizia zoezi langu lakushoot video hiyo ya Dika boy kimisha Niliweka battery yangu kwenye chaji kwakua umeme niliokua ninatumia kuchajia kifaa changu ulkua wa jenereta hivo lilitokea tatizo la kiufundi na chaja ya Camera yangu ilipigwa shoti ikaungua pale pale sehem na mazingira niliokua nikishutia mtandao wa Artel lain ilkua inaandika Network busy
asubuhi Sana niliamka nikatoka kijiji hiko kiitwacho CHIKOBE nikaelekea KATORO MJINI ili nifanye mawasiliano nitumiwe CAMERA nyingine kutoka oficini basi nikafka katoro nikatafta kibanda nikakaa hapo nikaanza kuboost simu yangu kwa sababu haikua na chaji Ghafra kuna mtu aliniita kiukweli sikua namjua ila nilienda kumskiliza kufka nikamuona ni mtu aliejawa na hofu kubwa Kwanzaa ongea yake na mapigo ya moyo wake yalivokua yakikimbia mbio nikamuulilza huku nami mi Nikiwa nae kwa mashaka nikiofia kuibiwa make nilkua nimebeba begi lenye CAMERAS na nilkua Nina Lans za Gharama
nanukuu maneno yake _kaka ety HOSPITAL ya MISSION inapatikana wapi nikamuuliza unaonekana kama umepagawa kwani kuna nani kalazwa hapo hospital akanionesha kichupa kidogo nilkisoma kilikua kimeandikwa
MADINI YA DHAHABU
YENYE THAMANI YA MILIONI 40
nikamuuliza kwa hofu vipi kuhusu hiko kichupa akaniambia nanukuu mimi naishi CACORA kijijini kwetu kuna wazungu walipatwa na ajari wakaangusha hivi vichupa na wakatangaza kwenye RADIOS kwa atakaeviokota nakuvipeleka anapewa zawadi ya MILIONI 8
hapo namimi nikabaha wakati nikiwa nimezubaa yule mtu akaita kijana mwingine nae akamuulizia swali lile lile yule kijana akamshauri nanukuu wewe ebu toka twende huku kaka usioneshe oneshe kila mtu hii ni hera kaka kwani we hutaki utajiri , kijana akavuta kando akatoka tulpokua tumesimama kijana akamuomba aione tena ile chupa alipoiona akamuuloza swali kaka unajua kusoma yule la kaka akajibu hapana sijui kusoma ila chupa kama hizi nilkua ninazo mbili nyingne niliwaonesha watu wakaninyanganya nimebakiwa na hii moja basi nilipoona kama kuna dalil ya kudhulumiwa yule mkaka nilianza kuwafuata kwa kila hatua waliokua wakienda yule kijana alituzungusha kuanzia saa 2 asubui mpaka saa 5 bila matumaini yoyte ya kuipata HOSPITALI hiyo ghafla tu aliongezeka kijana mwingine ko tukawa watu watatu wote tunamwelekeza hospitali yule kaka mimi nilkua mgeni ko nilkua ninawafuata wenyeji nilikuja kushtuka muda ushaniacha nikawaacha wale vijana nikaenda moja eneo niliokuwa nimeacha simu yangu ile kuwasha tu JJ KABAPA akapiga kwakua nilkua nimechelewa nikamwambia nipo katoro nakuja hapo nyantimba nnafka muda sio mrefu ajabu na yeye akaniambia yupo katoro kwenye studio ya ‪@manyerotv806‬ ko tukutane busele sele tuianze safari nikachukua namba ya ofice alafu simu yangu nikazima nikaanzima simu nyingne nikaanza kuwatafta oficn ili wanitumie camera nyingne ila simu zao hazkupolkelewa nikampgia Bravo hakupatikana dah nikawasha simu yangu huku nikiamini labda hawajapokea kwakua namba ngeni ile nawasha tu Jj kabapa akapiga kwakua nilkua nimemzimishia simu ikabidi nimdanganye nikamwambia nimepata lifti hapa kapita msela wangu hivo nipo bwanga ajabu nayeye akasema? imekupgia mno hupatikani nikaanza kwenda namimi nimefka bwanga hapa njoo twende sasa nina piki piki ya nyumbani sasa hapo ndo nikachanganyikiwa nikazima simu alafu nikapanda boda hadi NYARUTEMBO kufka pale boda boda wakaniuliza unaenda wapi nikawajibu naelekea kushoot kwao na jj kabapa nyantimba sasa kumbe wale boda walkua wanafahamiana na kabapa wakaniambia kabapa alkua amekaa mazingra Yale make alisema kuna mgeni wake anakuja ila simu hapatikani alafu ni mgeni inawezekana ikawa ndo wew kwenda nikamta ndie yeye sasa nikashindwa ata kumwambia camera inashida kwa sababu alkua anarahumu sana mimi kutopatikana kwenye simu sherehe nzima imesimama kisa mimi
hivo tulienda tukafka eneo la tukiwa kilichotokea ni kwaamba vipande vingi vilishootiwa na Simu make camera ilikua inazima hivo naombeni sana mtuuwiye ladhi kwakuwatia kazi isio na ubora ndani yake ilikua ni kazi ya kushoot vídeo tatu MANENO niliishuti na kazi nyingne akaifanya ‪@MakulaStudios‬ sasa imebaki kazi moja inayoitwa MAMA NGORO hiyo kazi kama nitapewa niifanye nawaaihidi nitajisafisha makosa yangu kupitia vídeo hiyo by
DIRECTOR BAROZI WA WATU WEUSI
maoni na ushauri 0789811605

JJ Kabapa Maneno (Video_Official)by geita asili yetu 0789911605

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

JJ Kabapa Song Maisha(video_official) Geita_asili_videos_production 0789811605 dir_by_Black_Nyene

JJ Kabapa Song Maisha(video_official) Geita_asili_videos_production 0789811605 dir_by_Black_Nyene

JJ KABAPA HISTORIA YA BUJUKANO OFICIALMUSC VIDEO BUSANGI VIDEO 2024

JJ KABAPA HISTORIA YA BUJUKANO OFICIALMUSC VIDEO BUSANGI VIDEO 2024

Геннадий Головкин как с Цепи Сорвался! Такое не Забыть…

Геннадий Головкин как с Цепи Сорвался! Такое не Забыть…

Jj kabapa Song Annastazia Official video 4k

Jj kabapa Song Annastazia Official video 4k

Rogeti - Monica |Official video

Rogeti - Monica |Official video

jj kabapa ft ng'waniyene song isebhya officall r h video new 2021 full dh

jj kabapa ft ng'waniyene song isebhya officall r h video new 2021 full dh

NYANDA MASUMBUKO MAPITO OFFICIAL}VIDEO }Dir Kali boy }0747040959

NYANDA MASUMBUKO MAPITO OFFICIAL}VIDEO }Dir Kali boy }0747040959

HUYU NI NANI? { ep 10 }

HUYU NI NANI? { ep 10 }

JJ KABAPA SONG NGEMBULA Yai Video call 0753149940

JJ KABAPA SONG NGEMBULA Yai Video call 0753149940

JJ kabapa ft mjukuu malundi dunia officialvideo2020 Dir Busangi

JJ kabapa ft mjukuu malundi dunia officialvideo2020 Dir Busangi

Mahunja Ngw'ana sayi song DIWANI MINZA HALAMBA Official music video Director-JAX mlengistudio

Mahunja Ngw'ana sayi song DIWANI MINZA HALAMBA Official music video Director-JAX mlengistudio

Jj kabapa Song Bhagalu Official video 4k

Jj kabapa Song Bhagalu Official video 4k

SUPER MAGUFUL  SONG_-ISONGA_  0745610765 YJ STUDIO.

SUPER MAGUFUL SONG_-ISONGA_ 0745610765 YJ STUDIO.

KWAO NI WAPI EP 4

KWAO NI WAPI EP 4

Elizabeth maliganya ftJJ kabapa ufunguzi wa nyumba official video Dir  v busangi video

Elizabeth maliganya ftJJ kabapa ufunguzi wa nyumba official video Dir v busangi video

NYANDA LUSHIKA FT MANWALI _ KIKUNDI CHA NAWA USO UONE MBELE  BY KtmStudio Official Video

NYANDA LUSHIKA FT MANWALI _ KIKUNDI CHA NAWA USO UONE MBELE BY KtmStudio Official Video

JJ KABAPA SONG NOMO BY OFFICALL MYEJA VIDEO 2022 MPY

JJ KABAPA SONG NOMO BY OFFICALL MYEJA VIDEO 2022 MPY

KABAITI SHABALALA FT NYALWANDA SONG HARUSI YA SIKU

KABAITI SHABALALA FT NYALWANDA SONG HARUSI YA SIKU

Bhatemi Bhanse MASAMVA Official Video HD Dir James Town 📸🔥 (0746919167)

Bhatemi Bhanse MASAMVA Official Video HD Dir James Town 📸🔥 (0746919167)

Kasobhe Kado Nyanda Mashinyali Song NZAMINI Official  music video Director-JAX 0614966070

Kasobhe Kado Nyanda Mashinyali Song NZAMINI Official music video Director-JAX 0614966070

© 2025 dtub. Все права защищены.



  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности



Контакты для правообладателей: [email protected]