Mombasa Eye Hospital Yatoa Huduma za Macho Bure Likoni!
Автор: Pwani Media Group
Загружено: 2024-12-01
Просмотров: 102
Katika jitihada za kuboresha maisha ya jamii, Hospitali ya Mombasa Eye kwa kushirikiana na kikundi cha wajane, iliandaa kambi ya afya kwa ajili ya uchunguzi wa magonjwa ya macho na matibabu bure. Tukio hili lilileta faraja kwa mamia ya wakazi wa Mombasa waliopata huduma hizi muhimu. Tazama jinsi mshikamano huu wa kipekee ulivyobadili maisha ya wengi!
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: