DKT. MWINYI AFUNGUA SOKO LA MBOGA MBOGA MOMBASA
Автор: Zanzibarleo Online
Загружено: 2026-01-04
Просмотров: 8195
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar amefungua Soko la Mbogamboga Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharib siku ya 4 Januari 2026.
Dkt. Mwinyi, amesema Serikali itaendelea na ujenzi wa masoko ya kisasa katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar kwa lengo la kuwawezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao katika mazingira bora, salama na yenye hadhi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: