SIKILIZA BURE USHAURI JUU YA UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA (1)
Автор: Mifugo Tanzania
Загружено: 2024-08-02
Просмотров: 100
USIMAMIZI WA MASHAMBA | USHAURI JUU UFUGAJI KIBIASHARA | KUTEMBELEA MASHAMBA
ELIMU NA USHAURI WA KITAALAMU JUU YA UFUGAJI WENYE TIJA
JOACK FARM/SITE VISIT PROGRAM
Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @joackanimalclinic @afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
JOACK Company LTD tunatoa huduma ya kutembelea mashamba ya mifugo yalio endelezwa na ambayo bado hayajaendelezwa ili kutoa ushauri juu ya ufugaji wenye tija.
JOACK Company inautaratibu wa kuandaa ripoti baada ya kutembelea shamba/eneo lako, na hiyo ripoti hutoa mapendekezo ya nini kifanyike kuliendeleza eneo lako kupitia ufugaji au kilimo ili kupata tija na matokeo chanya.
Lakini pia tunatoa huduma ya kusimamia mashamba (farm supervision) na miradi ya ufugaji ili kuhakikisha vitu vinakwenda sawa.
Kabla hujaanza kufunga au kulima ni vema kumualika mtaalamu kwenye shamba lako ili afanye ukaguzi wa kina kabla ya kuanza mradi wako.
Elimu juu ya #ufugaji ni kitu cha msingi sana kwenye mradi hii ni sawa na mtu aliyewasha tochi gizani hawezi kupotea njia, tochi ni sawa na ushuri wa kitaalamu.
Ijue biashara ya ufugaji na fursa zake za masoko kupitia wataalamu wenye uzoefu, tupo kukuonesha njia ya kufanikiwa kupitia ufugaji.
#ushauriwamifugo #ufugajikibiashara #kutembeleawafugaji #mashambayamifugo #ufugajiwakuku #kutembeleawafugaji #ufugajiwabroiler #ufugajiwakukuwamayai #kutembeleawafugajiwangombe
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02 (Call/Text/WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
[email protected]
YouTube: • Видео
Website link: https://joackcompany.business.site/
#joackcompany #joackvetcenter #Kilimo #usimamiziwamashamba #mifugo #mifugotz #dodoma #tanzania🇹🇿 #kilimo #tanzania #usimamiziwamashambayamifugo #kukuwanyama #chakulachamifugo #daressalaam #morogoro #elimuyamifugo #farmvisit #kutembeleamashamba #dukalamifugo #hudumazamifugo
JOACK..
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: