WITA LIGANGA
Автор: Jericho ndelwa
Загружено: 2024-08-12
Просмотров: 2985
Wimbo wa kabila la wakinga kutoka makete.. umetungwa na kuibwa na JERICHO NDELWA akimshirikisha BIBI CHALA..ukiwa na maana (Mungu ndie muumba na muamuzi wa yote...Mwanadam asikutishe kwa lolote..Na kama ni mapito nimepitia mengi sana....na sasa nimekomaa nimekua mkomavu haswaaa..hakuna neno mwanadam utakalo lisema...litakalo usumbua moyo wangu...maana moyo wangu sasa umekua kama jiwe la chuma...hausikii maneno yenu maovu kamwe)..karibu usikilize wimbo huu🙏
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: