MWANZA NI SALAMA HAKUNA MAANDAMANO
Автор: BONGO PLAY TELEVISION
Загружено: 2025-12-09
Просмотров: 338
Mkuu wa mkoa wa Mwanza saidi mtanda amewatoa hofu wananchi na wakazi wa mkoa wa huo kuwa hali ya ulinzi na usalama ni shwali hadi hivi sasa .
Akizungumza leo ofisini kwake December 9 , 2025 said mtanda amewatoa hofu wananchi na wakazi wa Mwanza kuwa kuna picha mjongeo inazunguuka mtandaoni kuwa kuna wananchi wanaonekana kujikusanya pamoja wakidai haki yao amesema video hiyo sio ya leo ni video iliyorecodiwa kipindi cha nyuma kipindi cha matokeo ya uchanguzi kipindi yanatangazwa ila sio ya leo hii.
Amesisitiza kuwa akiwa kama Mwenyeki wa ulinzi na usalama wa mkoa wa mwanza amefatilia na kujihakikishia kuwa video hiyo sio ya leo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: