UCHAMBUZI | Tanzania kuwekewa vizuizi vya kuingia Marekani
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-12-18
Просмотров: 4100
Marekani imeiweka Tanzania pamoja na baadhi ya nchi nyingine katika orodha ya nchi zenye vizuizi vya kuingia nchini humo, ikieleza sababu kuwa ni ukiukwaji wa masharti ya viza pamoja na vitendo vya udanganyifu.
Akizungumzia suala hilo, Mtanzania anayeishi Marekani, Muberwa Bandio, ameeleza kwa undani zaidi kuhusu ripoti hiyo na athari zake kwa raia wa Tanzania wanaokusudia kusafiri au kuishi nchini Marekani.
#AzamTVUpdates
Imeandaliwa na Nifa Omary
Mhariri | John Mbalamwezi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: