Baibui la kamba limepotelea wapi? Tazama hii kutoka Zanzibar
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-04-17
Просмотров: 2012
Vazi la baibui la kamba ni vazi la asili kwa wazanzibari na ukanda wa pwani lakini kwa miaka ya karibuni limekuwa adimu huku mavbazi mengine yakichukua nafasi.
Hali ikoje visiwani Zanzibar? Ungana na Nayma Khaji kujua undani wa mambo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: