Jinsi ya Kutibu Tamaa ya Kula UDONGO au MKAA 'Pica'
Автор: Dr Nature
Загружено: 2025-05-23
Просмотров: 2755
Je, umewahi kutamani kula udongo, mkaa au vitu visivyo chakula? Hii hali inaitwa PICA, na inaweza kuwa ishara ya tatizo la kiafya au lishe. Katika video hii, utajifunza:
Sababu kuu zinazosababisha tamaa ya kula udongo/mkaa
Madhara ya kiafya yanayoweza kujitokeza
Njia salama na asilia za kuondoa tatizo hili kabisa
****
Dr Nature ni jina maarufu analotumia Yusufu Mohamed Filemon. Ambaye ni kijana mwenye shahada ya udaktari wa binadamu kutoka chuo kikuu cha KCMC na mtaalamu wa tiba kwa chakula (homeopathist na naturopathist).
Anafanya kazi ya kuwasaidia watu kukinga na kutibu magonjwa kwa mtindo bora wa maisha. Katika channel hii ya youtube anafundisha dondoo mbalimbali zinazowasaidia wengi kurejesha afya zao.
**
SOCIAL MEDIA
Facebook: Dr Nature www.facebook.com/doktanature
Instagram: Dr Nature www.instagram.com/doktanature
MAWASILIANO:
Simu/Whatsapp: +255-767-759-137
Email: [email protected]
Moshi, Tanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: