TULIA TRUST INAENDELEA KULETA TABASAMU KWA WAKAZI WA JIMBO LA UYOLE || MPANGO WA MSAADA KWA JAMII
Автор: Tulia Trust
Загружено: 2025-11-17
Просмотров: 128
Taasisi ya Tulia Trust iliyo chini ya Mkurugenzi wake ambae ni Mbunge Jimbo la Uyole ambae ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Mh. Dkt Tulia Ackson, wameanza ujenzi wa nyumba ya familia ya Mzee Anyomwisye Mwalyaje mkazi wa mtaa wa Mwafute kata ya Ilemi iliyoteketea kwa moto usiku wa September 5 kutokana na hitilafu ya Umeme.
Ujenzi huo umeanza baada ya Mh. Dkt. Tulia kutoa ahadi ya kumjengea nyumba mzee Anyomwisye Mwalyaje alipomtembelea kutokana na kadhia ya nyumba yake kuteketea kwa moto pamoja na mali zote zilizokuwemo ndani.
#TuliaTrustNaJamii #MpangoWaMsaadaKwaJamii
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: