Mfalme Mjanja - Swahili Children Story Kuhusu Mfalme Aliyetumia Maarifa Kijanja Kumteua Mrithi Wake!
Автор: Taaty TV
Загружено: 2025-11-13
Просмотров: 4699
✨ Karibu hapaTaatyTV! Utashuhudia Mfalme Mjanja tena tajiri na mwenye maarifa mengi. Utashuhudia akiyatumia maarifa yake kumteua mmoja kati ya Vijana wanne ambao watamrithi ufalme wake mkubwa wenye utajiri mwingi. Hadithi hii ya Swahili imejaa msisimko, funzo la uadilifu, uongozi bora, na uaminifu.
👉 Kama ulipenda hadithi hii, bonyeza Like, Share na Comment chini kusema ulipenda funzo ipi zaidi! 🔔 Usikose kipindi kingine cha TaatyTV – Subscribe sasa na gonga kengele ya notisi!
#TaatyTV #HadithiZaWatoto #SwahiliStories #Fisi #SimbaMdogo #FamilyAdventure #KidsAnimation #KenyaStories
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: