Kifo cha Rais Moi, utaratibu wa kutangaza kifo cha rais au rais mstaafu
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2020-02-04
Просмотров: 193858
Jioni ya leo, Kenya imeendelea kuomboleza kifo cha rais wa pili wa Jamhuri ya Kenya Daniel Toritich Arap Moi aliyeaga dunia akiwa na umri wa miaka 96. Tangazo la kufariki kwa rais mstaafu lilitolewa kwa njia ya kipekee na Rais Uhuru Kenyatta akiwa ziarani kuelekea marekani. Moi aliaga dunia mwendo wa saa kumi na moja unusu asubuhi, na taarifa rasmi ikatoka ikulu majira ya saa kumi na mbili unusu asubuhi, kulitangazia taifa tanzia hiyo. Shughuli chungu nzima zikifuatia katika hifadhi ya maiti ya lee, ambapo mwili wa mwendazake umehifadhiwa, ukisubiri mazishi ya kitaifa na taadhima ya kijeshi, kama alivyoagiza rais kenyatta.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: