SOLO WALKING TOUR INSIDE TANGA STREETS🇹🇿
Автор: Navigator Chinduli🇹🇿
Загружено: 2025-05-05
Просмотров: 645
SOLO WALKING TOUR INSIDE TANGA STREETS🇹🇿
Mji wa Tanga ni mji maarufu unaopatikana kaskazini mashariki mwa nchi ya Tanzania, mji huu hukaliwa na waswahili lakini pia kuna makabila kadhaa kama vile wadigo, wazigua, wasambaa, wabondei, wasegeju, wamamwende, wapare na wachaga kwa uchache.
Umaarufu wake pia unaletwa na mpangilio bora wa mitaa ambayo huku na huko imepewa majina yenye historia pana sana.
Leo nitakupitisha katika mitaa hii ya Tanga uweze kujionea utafauti.
#simbasc #automobile #marketstore #trainjourney #travel #walkingtour #walkingstreet #walking #swahili #tanzanianyoutuber #trending #viralvideo #trendingvideo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: