JINSI YA KUYAKUMBATIA NA KULINDA MAJIRA MAPYA
Автор: REV ANNAEL G. PALLANGYO
Загружено: 2025-12-29
Просмотров: 21
PREACHER : REV ANNAEL G PALLANGYO.
MSG:NGUZO TATU ZA KUDUMISHA MAJIRA MAPYA .
1: Ushirika wa karibu na Mungu.
*Kuna watu wana mjua Mungu ila hawana ushirika nae
Mfano: shetani
*Kuna watu wana dhani wanaushirika na Mungu ila hawana
Ushirika nae.
*Kuna watu wanamjua Mungu na wana ushirika nae.
Yeremia 17:5
Zaburi 92:12
1Samweli 13:,30:
Mfano mwingine: sauli alikuwa na ushirika na Mungu lakini
Sauli hakua nao
2: Unyenyekevu baada ya kupanuka
Yakobo 4:6
Kumbukumbu 8:8-15
3: Dumisha nidhamu ya kiroho.
Eneo la kwanza la utajiri ni nidhamu binafsi.
KANUNI MUHIMU ZA KUISHI KATIKA MAJIRA MAPYA
1: Tambua na kubali majira mapya huwezi kuishi vizuri katika majira
Mapya usipoyatambua
Muhubiri 3:1
2
3 : Fuata sauti ya Mungu kwa unyenyekevu.
Yakobo 4:6
Isaya 30:21
4:Badilisha fikra n mtazamo.
5: Chukua hatua kwa imani
Yakobo 2:17
6:Dumisha ,majira ya kiroho (wakorintho 9:27)
7: Jitenganishena mahusiano yanayokurudisha nyuma.
Sio kila mtu wajana niwa kesho.
MTU YEYOTE ANAYE KUONYESHA ALTERNATIVE ASIYEWEZA KUKU SAIDIA KUKUFIKIA HUO UAMUZI HUYO ANAKUFUNGA MACHO YA ROHONI KWA KUKUPA ALTERNATIVE ZA KIMWILI ILI UENDELEE KUANGALIA MWILI SIO ROHONI.
Yakobo 1:3
9:Endelea kushukuru na kumsifu Mungu.
Shukurani hufunga mlango wa zamani na kufungua mpya
10:Linda utii kuliko mafanikio.
1 samweli 15:22
UTII HUAMUA MUDA WA KUKAA KWENYE MAJIRA MAPYA
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: