Tumaini la Uzao wa Ibrahimu | Effort Changwahela 2025 | Mch. Elisha Juma | Bible TV Tanzania
Автор: Bible TV
Загружено: 2025-11-26
Просмотров: 9
kutoka Effort Changwahela 2025!
Karibu katika ibada ya Siku ya Kumi tukiongozwa na Mch. Elisha Juma, tukitafakari ujumbe wenye nguvu: “Tumaini la Uzao wa Ibrahimu.”
Katika somo hili, tunakumbushwa ahadi kuu za Mungu kwa Abrahamu—ahadi za urithi wa kiroho, ulinzi, na wokovu kupitia Yesu Kristo. Ujumbe huu unatualika kuishi kwa imani, kutembea katika utii, na kushikilia tumaini lililoahidiwa kwa watoto wa Mungu katika kizazi chochote.
Tunakuomba ujiunge nasi, ujifunze, ubarikiwe, na usahau kusubscribe ili kuendelea kupata mafundisho ya Biblia kwa undani kupitia Bible TV Tanzania.
📖 “Kwa kuwa ninyi nyote mmekuwa wana wa Mungu kwa njia ya imani katika Kristo Yesu.” — Wagalatia 3:26
#BibleTvTanzania #EffortChangwahela2025 #TumainiLaUzaoWaIbrahimu #MchElishaJuma #SDAChurch #AdventistMessage #HopeInChrist #UzaoWaIbrahimu #Imani #Biblia
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: