Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

NIT NA NAIBU WAZIRI WIKI YA MAZINGIRA

Автор: HABARI MCHANGANYIKO

Загружено: 2025-06-05

Просмотров: 12

Описание:

Dodoma Juni 5, 2025

Katika kuadhimisha Wiki ya Mazingira Duniani, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimeeleza dhamira yake ya kuendelea kuwafundisha wataalamu wa usafiri waliobobea katika kulinda mazingira, hasa kwa kuzingatia athari zitokanazo na vyombo vya moto kama magari, malori na pikipiki.

Akizungumza wakati wa maadhimisho hayo, *Mkuu wa Idara ya Usafiri Salama na Uhandisi wa Mazingira Eng. Patrick Makule amesema kuwa sekta ya usafiri ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya uchafuzi wa hewa kutokana na utoaji wa gesi chafu, hivyo ni muhimu kwa wataalamu wa fani hiyo kufundishwa namna ya kupunguza madhara hayo.

"Tunawajengea wanafunzi wetu uelewa mpana kuhusu usafiri endelevu, matumizi ya teknolojia safi, na umuhimu wa kuzingatia viwango vya kimazingira katika uhandisi wa usafiri," amesema Eng Makule

Ameongeza kuwa NIT imejikita katika kutoa elimu ya vitendo na tafiti zinazolenga kuboresha mifumo ya usafiri ili iwe salama kwa binadamu na rafiki kwa mazingira.

Kwa mujibu wa NIT, hatua hii ni sehemu ya juhudi za kitaifa na kimataifa katika kupambana na mabadiliko ya tabianchi na kulinda afya ya jamii.

Kwa upande wa Serikali kupitia Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Khamis Hamza Khamis, amepongeza Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kwa jitihada zake za kuwawezesha vijana wa Kitanzania na kwa kuoanisha sekta ya usafirishaji na mazingira kwa namna endelevu.

Akizungumza jijini Dodoma alipotembelea maonesho ya Wiki ya Mazingira, Mhe. Khamis alisema kuwa mchango wa taasisi za elimu kama NIT ni muhimu katika kuhakikisha vijana wanapata elimu stahiki itakayowasaidia kushiriki katika maendeleo ya Taifa bila kuathiri mazingira.

Ameeleza kuridhishwa na ubunifu wa NIT katika kushughulikia changamoto za mazingira kupitia elimu ya usafirishaji rafiki kwa mazingira. Aidha, alisisitiza kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi kama NIT ili kuimarisha usawa wa maendeleo na uhifadhi wa mazingira.

Naibu Waziri Hamza alikuwa ameongozana na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Dunstan Kitandula.

NIT NA NAIBU WAZIRI WIKI YA MAZINGIRA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

💥 ГОРЯЧИЕ НОВОСТИ! Евросовет скажет

💥 ГОРЯЧИЕ НОВОСТИ! Евросовет скажет "ДА" "репарационному кредиту" для Украины?

USHIRIKI WA NGORONGORO KWENYE 77 MWAKA HUU 2025

USHIRIKI WA NGORONGORO KWENYE 77 MWAKA HUU 2025

AGIZO LA IGP 'KUFUNGIA WATU NDANI' BAADA YA UCHAGUZI LILIKUWA HALALI?/ KILICHOTOKEA MAHAKAMANI LEO

AGIZO LA IGP 'KUFUNGIA WATU NDANI' BAADA YA UCHAGUZI LILIKUWA HALALI?/ KILICHOTOKEA MAHAKAMANI LEO

🔴 LIVE: BALOZI PINDI CHANA ANAWASILISHA BAJETI YA MALIASILI NA UTALII BUNGENI

🔴 LIVE: BALOZI PINDI CHANA ANAWASILISHA BAJETI YA MALIASILI NA UTALII BUNGENI

NIDA: NJOO SABASABA TUWASAIDIE

NIDA: NJOO SABASABA TUWASAIDIE

🔴#Live: RAIS SAMIA AKISHIRIKI MKUTANO MKUU CCM - DODOMA - DIAMOND AWABURUDISHA...

🔴#Live: RAIS SAMIA AKISHIRIKI MKUTANO MKUU CCM - DODOMA - DIAMOND AWABURUDISHA...

KISHINDO cha DODOMA! RAIS SAMIA AWEKA JIWE la MSINGI MAKAO MAKUU ya CCM - DODOMA....

KISHINDO cha DODOMA! RAIS SAMIA AWEKA JIWE la MSINGI MAKAO MAKUU ya CCM - DODOMA....

KUTOKA kwa WANACHUO HII USIPIME! WAJA na JAMBO HILI - MISS NIT UTAPENDA  CHEKI WAREMBO WALIVYODAMSHI

KUTOKA kwa WANACHUO HII USIPIME! WAJA na JAMBO HILI - MISS NIT UTAPENDA CHEKI WAREMBO WALIVYODAMSHI

UMAHILI WA NGORONGORO NA TUZO ZA UTALII DUNIANI

UMAHILI WA NGORONGORO NA TUZO ZA UTALII DUNIANI

🔥Урсула ВОРВАЛАСЬ со СРОЧНЫМ заявлением! Зал взорвался ОВАЦИЯМИ. Слушайте, что сказала об Украине

🔥Урсула ВОРВАЛАСЬ со СРОЧНЫМ заявлением! Зал взорвался ОВАЦИЯМИ. Слушайте, что сказала об Украине

77 MWAKA HUU 2025 WAKULIMA KUNA JAMBO LENU

77 MWAKA HUU 2025 WAKULIMA KUNA JAMBO LENU

Czy Putin chce pokoju? Kulisy decyzji na Kremlu | prof. Hieronim Grala | ŻEBY WIEDZIEĆ #9

Czy Putin chce pokoju? Kulisy decyzji na Kremlu | prof. Hieronim Grala | ŻEBY WIEDZIEĆ #9

HISTORIA YA IKULU YA MAGOGONI-DAR ES SALAA NA CHAMWINO-DODOMA

HISTORIA YA IKULU YA MAGOGONI-DAR ES SALAA NA CHAMWINO-DODOMA

KONGAMANO LA VIJANA KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

KONGAMANO LA VIJANA KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

WAZIRI PINDI CHANA AKIHITIMISHA HOTUBA YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

WAZIRI PINDI CHANA AKIHITIMISHA HOTUBA YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

Rais Mwinyi awajibu Jussa na viongozi wa ACT, asema kazi yao ni kupiga porojo tu majukwaani

Rais Mwinyi awajibu Jussa na viongozi wa ACT, asema kazi yao ni kupiga porojo tu majukwaani

Sifa na Ada Mafunzo Ya Udereva Wa Mabasi Na Malori Chuo Cha NIT/ PSV, VIP, HGV na FORKLIFT OPERATOR.

Sifa na Ada Mafunzo Ya Udereva Wa Mabasi Na Malori Chuo Cha NIT/ PSV, VIP, HGV na FORKLIFT OPERATOR.

🔴 ПРЯМО СЕЙЧАС! ЕС переходит к ДОЛГОЙ поддержке Украины ВОПРЕКИ планам РФ

🔴 ПРЯМО СЕЙЧАС! ЕС переходит к ДОЛГОЙ поддержке Украины ВОПРЕКИ планам РФ

MIKOPO FURSA KWAWAJASIRIAMALI

MIKOPO FURSA KWAWAJASIRIAMALI

Bishop Askofu Gwajima|Aongea Juu Ya Muafaka Na Mustakabali Watanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu

Bishop Askofu Gwajima|Aongea Juu Ya Muafaka Na Mustakabali Watanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]