Sote tunaishi ndani ya stara ya Allah linda aibu za mwenzako kama Allah anavyolinda zako-Sheikh Elmi
Автор: Kalamutz
Загружено: 2022-12-09
Просмотров: 1850
Sheikh Shamsi Elmi katika Khutba ya Jana ameizungumza Stara katika namna ambayo haijawahi sikika sana....
Juu ya mengi mazuri alotufundisha ametupa visa viwili vitamu vyenye mafunzo makubwa ndani yake:
1.Kisa cha Nabii Musa na mfanya madhambi aliyestiriwa na Allah
2.Kisa cha Imam na Bwana muuza mikate na mke aliyezaa nje ya ndoa. @kalamuMedia
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: