MARTHA MWAIPAJA AZUNGUMZA KWA MARA YA KWANZA, ATOA KAULI KUHUSU TUHUMA ZA FAMILIA
Автор: MACHINGA TV
Загружено: 2024-12-26
Просмотров: 99153
Martha Mwaipaja, msanii wa Injili maarufu, azungumza kwa mara ya kwanza baada ya kuingia kwenye vichwa vya habari Afrika Mashariki kufuatia tuhuma kutoka kwa mdogo wake kuhusu uhusiano wake na familia. Katika video hii, tunakuletea maelezo yote kuhusu alichosema Martha baada ya kushiriki ibada ya Krismasi katika Kanisa la The Dream Centre Fellowship, lililo chini ya mchungaji Christina Shusho. Usikose kujua ukweli nyuma ya sakata hili!
Mwandishi: John Mwonga
👉 Tazama hadi mwisho, like, share, na subscribe kwa habari zaidi za kipekee!
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: