WATU ZAIDI YA 50 WANUSURIKA KIFO BOTI YAO IKIZAMA MAFIA
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-12-30
Просмотров: 6196
Abiria zaidi ya 50 wamenusurika kufa baada ya boti yao iliyokuwa ikisafiri kutoka Kilindoni - Mafia kwenda Nyamisati - Kibiti kuzama jana asubuhi baada ya kuzidiwa na mawimbi.
Mbunge wa Mafia amethibitisha tukio hilo na kusema abiria wote wameokolewa na hakuna majeruhi zaidi ya watu kupoteza mizigo yao.
Abiria walionusurika wamesema boti yao ilizama baada ya maji kuanza kuingia ndani ya boti hiyo huku pampu za kotolea maji zikizidiwa na kushindwa kufanya kazi vizuri.
#AzamTVUpdates #AzamNews #UTV
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: