Ufugaji wa Kuku Chotara Biashara
Автор: Changamkia Fursa
Загружено: 2021-03-16
Просмотров: 50120
ufugaji wa kuku chotara biashara
muongozo wenye Mafanikio.
Ufugaji wa kuku Chotara ni Ufugaji wa kibiashara na unapotaka kuanza biashara yeyote ni muhimu ukawa na mpango thabiti wa namna gani utaiendea biashara hiyo ili iweze kukuwa na kukupa mafanikio makubwa na unayoyahitaji.
Lakini zipo hatua ambazo inakubidi uzifahamu na uzipitie ili uweze kufuga kuku chotara kwa mafanikio.
Hatua hizo ni kama zifatazo:-
1. Unahitaji Kuzalisha Bidhaa ya aina gani
2. Kutafuta elimu ya ufugaji wa kuku chotara
3. Fahamu bajeti ya uendeshaji wa mradi
4. Jenga Banda Bora la kuku chotara
5. Ingiza vifaranga Bandani
6. Ulishaji wa chakula na utoaji chanjo kwa vifaranga
7. Udhibiti wa Magonjwa ya Miripuko
8. Soko
Kitu ambacho kinawatisha watu wengi kuingia kwenye ufugaji wa kuku chotara
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: