NENO LA MUNGU
Автор: Fr.Makoria
Загружено: 2025-09-03
Просмотров: 390
Mtunzi: Fr. Evarist Makoria
Waimbaji: Kwaya ya Watoto ya Mt. Gemma Galgan, Parokia ya Sambarai Moshi - Kilimanjaro
Audio: Eng. Aaron Michael
Video: The Galaxy Pro Studio
Kinanda: Colman Ufunguo
Neno la Mungu ni Neno lenye uzima kwa roho zetu. kila Mkristo anaaswa kulipenda kwani linatufundisha, linatuongoza.
Karibuni sana tuwatazame na kuwasikiliza watoto hawa
Ad Majorem Dei Glorium - Yote Kwa Sifa na Utukufu wa Mungu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: